TERMS&CONDITIONS.


- Kupata nafasi...baada ya kutanguliza malipo ya awali ya kazi yako (200,000)
- Lini uweke nafasi, mara baada ya malipo ya awali kukamilika
- Kama shughuli imeahirishwa, taarifa itolewe wiki mbili kabla, ila 50% ya pesa iliyolipwa itakatwa kama usumbufu
- Kama shughuli iko nje  ya Tanga, Gharama za safari ni juu ya Mc

BEI

 - itategemea na shughuli iliko
KARIBU KWA MC KATO KARIBU SANA