- napatikana Jiji la DODOMA
- naratibu shughuli za Kiserikali
- naratibu shughli za Harusi
- naratibu shughuli za SendOff
- naratibu shughuli za Misiba
- naratibu shughuli za Kipaimara
✳ Mc Kato
- naplan event tofauti tofati (inategemea na hitaji la
mteja)
- natoa huduma ya Mc na Music kwa pamoja
✳ Mc Kato, tofauti na ushereheshaji
- nashughulika na kuwajengea uwezo wa kifikra Vijana kwa
njia ya Radio
- tunatoa huduma ya picha za Video na Mnato,
KARIBU SANA MCKATO ENTERTAINMENT.