FAQ.

- Mc Kato.....unapatikana wapi
Jibu.....DODOMA Mjini
- Mc Kato....ukiitwa popote unakwenda
Jibu.....Ndiyo nakwenda
- Mc Kato.....bei zako zikoje
Jibu.....za kawaida tu, usiogope nipigie 0658757335 Pia namba hii inapatikana whatsapp.
- Mc Kato.....shughuli za vijijini unaweza
Jibu.....kila kazi inaheshimiwa
- Mc Kato.....je bila music wako inakuwaje
Jibu.....kila jambo linazungumzika

Mc kato unaweza kufanya minada ya mabenk pamoja na ya watu wanaofilisiwa na taasisi za kifedha
jibu..ndio inawezekana.